
"Hatakama hakuwa noma dhidi ya Copenhagen lakini Torres atacheza vizuri dhidi ya Manchester, Jumanne hii."
Baada ya siku mbaya miezi ya karibu, Torres alonyesha kwanini alinunuliwa kwa millioni 50 na Chelsea baada ya kuisaidia Chelsea katika mechi ya Champions League.
"Ninaamini kuwa msimu mbaya kwa TOrres ni habari mbaya kwa Manchester United" alisema beki wa kati wa Chelsea John Terry.