
Nyuma ya gazeti la News of The World linasema "Luka ataka Manchester" ambalo linamuongelea Luka Modric na kwenda Manchester United.
£35m ni kiasi kilichotajwa na gazeti hilo likimhusu kinda waEverton Jack Rodwell na winga wa Sunderland Jordan Henderson (£15m) ni mataget ya ukweli.
The People linasema Michael Owen ataondoka Manchester United na Everton na Sunderland zikihusishwa. City wanahusishwa na gazeti la Subday People likisema Manchester City watamuulizia kiungo wa Valencia Juan Mata kwa £30m.
Chelsea
The Mirror linasema kuwa kazi ya Ancelotti ipo salama lakini wachezaji kama; Didier Drogba, Nicolas Anelka, Florent Malouda, John Obi Mikel, Yuri Zhirkov, Paulo Ferreira, Yossi Benayoun na Salomon Kalou wote wametajwa kuondoka.