Ushindi waArsenal dhidi ya Barca umeifanya bara la Ulaya kusimama na kujihadhari dhidi ya kikosi cha Wenger na sasa Inter Millan inawataka wafungaji wa mechi dhidi ya Barca.Kulingana na gazeti la News of the World, Internazionale inaandaa dau la £42m ili "wa double swoop" Robin van Persie na Andrey Arshavin.
Stori hii haijahakikiwa lakini gazeti linasema "Inter wanaamini wanaweza kumshawishi kocha wa The Gunners Arsene Wenger kuwauza kama watatoa dau zuri". Na kuongeza kuwa "Wenger anaweza kuamini hela itamwezesha kuwanunua makinda".