Sunday, February 20, 2011

Messi amtaka Fab Barca.


Fowadi wa Barcelona Lionel Messi anatumaini Klabu ya Catalan club itamaliza mzozo wa kumpata kaptain Arsenal Cesc Fabregas msimu huu.
Barca walfungwa 2-1 London, hatakama Barca waliongoza mchezo na waliwateka kabisa katika kipindi cha kwanza.

Messi anaamini Fabregas amecheza sehemu kubwa katika "COMEBACK" ya Arsenal usiku ule na kuwaambia wenzake kuwa Fab ni mchezaji wa maana ktk kikosi cha Arsene Wenger.