
Kiungo mkabaji Lassana Diarra 24, amehusishwa na mpango wa kuondoka Bernabeu na sasa Man U na Spurs zinamtaka kiungo huyo aliyewahi kuzichezea
Diarra amekuwa Real Madrid kwa miaka miwili kutokea Pompey, lakini amedhibitiwa nafasi na Sami Khedira kutokea
Kuna habari kwamba Manchester United wanamtaka Diarra. Kuna habari kwamba Diarra atamrithi Owen Hagreaves aliyeumia kwa mara nyingine baada ya kuwa nje ya miezi 18.