
Kinda huyo mwenye miaka , anayetajwa
Habari kutoka www.imscouting.com kutoka RSC Anderlecht zinasema kwamba Man U inaongoza na klabu nyingine 14.
“Romelu Lukaku yuko haraka, mwenye nguvu na muuwaji mbele ya kipa. Anaenda vizuri na mpira na kila mara yuko mahali penyewe katika muda wenyewe. Anwaeza kufunga na miguu yote hatakama anapenda kutumia wa kushota kuliko wa kulia.”
Lukaku ni mpigaji pasi mzuri ambaye anatengeneza mabao kwa wenzake.Lakini cha ukweli ni kwamba Lukaku ni mchezaji wa hali ya juu au WORLD CLASS PLAYER.