Sunday, January 2, 2011

Chelsea: Tumemkosa mmoja, sasa tupo kwa mwingine


Hatakama wana defence kali ndani ya PL League, Chelsea huonekana kulegea haswa hivi sasa ambapo Alex na John Terry wameumia.

Imetangazwa na kuripotiwa kuwa Chelsea walishindwa kumpata beki wa kati wa Benifica David Luiz kwa £17m.


Na inaonekana kwamba The Blues wako tayari kumsaini beki wa kati wa Bolton Wanderers Gary Cahill .