Wednesday, December 22, 2010

Samba: Naondoka


Big Sam alifukuzwa wiki iliyopita na wamilikiwapya kutokea India, wanaoitwa The Venky's food group.


Samba alisema haya alikuwa akihojiwa na kipindi kinachomilikiwa na Mr.Williams

"Kama klabu itakuwa hivi mimi sitakuwa miongoni mwao na nitaondoka."Kama nahodha ni ngumu kusema hivi lakini nimefikiria kuhusu hili. Hamna mtu ndani ya soka anaelwa kwanini Big Sam alifukuzwa."

Beki huyo kutoka Congo alisema: "Nina uhakika Mr. Williams hautakuwa umechagua uamuzi huu. Lakini Sam ni mwanasoka mzuri na ninaheshimu kazi njema Sam alizofanya" alimaliza.