
Wakala wa Nicolas Anelka na kaka yake alisema kuwa anaweza kuhamia United States wakati ambapo mkataba wake utaisha Chelsea.
Mkataba wa mshambuliaji huyo mwenye miaka 31 utaisha 2010 Stamford Bridge ambapo amekuwa hapo miaka 11.
Na atashawishika kujiunga na mwenzie wa Ufaransa U.S.A akitafuta chalenji mpya. Claude Anelka alisema akizungumza na www.dailystar.com: "Nicolas aliniambia kuwa atashawishika kuchezea United States.