Saturday, December 25, 2010

REDKNAPP AKATAA HABARI ZA MODRIC.


click here for more football headlines!

Harry Redknapp atafikiria juu ya kumwachia Robbie Keane kuondoka Tottenham mwezi ujao lakini amekataa kwamba Luka Modric atamfuata nje ya White Hart Lane.

Modric ameisaidia sana Tottenham tanu Redknapp amnunue Mcroatia huyo kutokea Dynamo Zagreb 2008.

Kiungo huyo, ambaye alisaini mkataba wa miaka-sita May baada ya uvumi kutoka Manchester United ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na kocha wa Chelsea Carlo Ancelloti ambaye alikataa madai kwamba atamnunua kiungo huyo mwenye miaka 25.

Redknapp alikataa kuwa Modric anaweza kuondoka mwezi ujao, akisistiza kwamba kiungo huyo atabaki kama ni kutimiza ahadi ya kuifanya Spurs wenyeji wa Champions League.