Saturday, December 25, 2010

FERGUSON AKATAA KURUDI KWA BECKS


Sir Alex Ferguson amefutilia mbali kwamba kuna njia yoyoye ya winga huyo kurudi Manchester United.

Hatakama Beckham,35 anataka kubaki MLS na LA Galaxy, timu nyingi zinatamani kumpata kwa mkopo Becks kwa mkopo.

Everton ni miongoni mwa klabu hizo, bado Beckham hatakuwa United tena, klabu ambayo amekuwa akiisapoti na kupata makobe sita ya Premier League kabla ya kujiunga Real 2003.

Kwa muda huo uhusiano wa Beckham na Ferguson ulipoporomoka.