
NEWS OF THE WORLD
* Manchester City wanapanga kumwaga mapesa kwa winga wa Tottenham Gareth Bale na kumtoa Adebayor ambayo inakadiriwa kuwa kiasi cha pauni milioni 60.
* Fulham wamemwambia Mark Huges kwamba watampa hela za kununua January kwaio asiogope kuhusu kitu chochote.
* Beki wa Tottenham Sebastien Bassong amesema angependa kurejea Ufaransa.
* Tony Pulis amewaambia Tuncay na Eidur Gudjohnsen wasahau kuondoka January .
* Fulham wanakumnunua mshambuliaji wa Friburg Pappis Demba Cisse kwa ada ya pauni millioni 5
DAILY STAR SUNDAY
* Liverpool wanataka kuwauza Glen Johnson, Fabio Aurelio, Daniel Agger Ryan Babel, Milan Jovanovic na Lucas
* Ajax wantaka kumnunua mshambuliaji wa Arsenal Nicklas Bendtner.
* AC Milan wanataka kumnunua Gael Kakuta.
THE PEOPLE
* Fulham na Aston Villa wanataka kuwanunua Michael Carrick na Robbie Keane.
* Sir Alex Ferguson wants anamtaka Danny Welbeck old trafford
SUNDAY MIRROR:
* Manchester United wanaweza kumwachia Owen Hargreaves mwishoni wa msimu.
* West Ham wanataka kumnunua Wayne Bridge January.
MAIL ON SUNDAY:
* Mario Baloteli bado atakwa na AC Millan