Thursday, December 16, 2010

Fergie atoa somo

Fergie amejitia moyo mbele ya mechi ya kukata na shoka Jumapili Stamford Bridge na kusema “tuna wachezaji wazuri tu na wana uzoefu mkubwa sana dhidi yao”.

"Siyo kwamba ni kipya kwao. Uzoefu wao ni muhimu sana na dhamira ya ipo ndani ya klabu yenyewe. Wachezaji wetu wote wana dhamira ya kushinda. Maveterani kama Michael Ballack na ndani wamekuja Daniel Sturridge, 21 na Josh McEchrean mwenye miaka 17 ni ubatili tu.