Mshambuliaji mahiri wa Arsenal na Netherlands ameumia kifundo cha mguu katika ushindi dhidi ya Blackburn Rovers tarehe ya August 28,kwa sababu alivyogongana na beki wa Blackburn Rovers Phil Jones,ambacho kilimfanya atoke katika kipindi cha kwanza.Mechi hiyo ambayo ilifanyika Ewood Park ugenini van Persie's ambaye aliumia pia katika fainali za World Cup,ambaye alipona tayari lakini, ameumia tena katika wiki sita zifuatazo klabu ya Arsenal imetangaza.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ambaye amecheza mechi 16 katika msimu uliopita.Lakini mchezaji huyo ameshacheza mechi 100 katika klabu hiyo.Pia Mshambuliaji wa ambaye ni Mdenmark kwa kwa taifa lake na jina lake ni Nicklas Bendtner ambaye yuko nje kwa sababu ya maumivu ya goti, Marouane Chamakh na Carlos Vela ndio washambuliaji pekee waliobaki.Hata hivyo,Kuna habari njema kwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger, kwamba kiungo wao Samir Nasri amesharejea kutoka maumivu yake ambayo aliyokuwa nayo, Ambaye aliumia kutoka mechi ya kwanza dhidi ya Liverpool ambayo iliisha 1-1.