Winga wa Arsenal Theo Walcott ameumia kifundo cha mguu ambacho alikipata wakati England iliposhinda 3-1 dhidi ya Switzerland huko Basel sio mbaya sana kama watu walivyofikiri lakini bado yuko nje kwa wiki mbili.Walcott ambaye alicheza dakika 10 tu katika mechi hiyo dhidi ya Swizerland Jumanne.
Kwa sababu Glen Johnson na Walcott walikuwa wanatumia nafasi moja walishirikiana vizuri na pia Walcott aliendelea na kazi yake yakukimbia ndani la box la 18 la Switzerland ambaye alikuwa anamkimbiza beki wa kulia Steve von Bergen's ambaye alimgonga walcott katika kifundo chake cha mguu baada ya kuingiza cross nzuri kwa Wayne Rooney ambaye alifunga goli karibu na goli kutoka kwa cross Walcott.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alipelekwa hospitali kwa kufanyiwa X-ray katika kifundo chake cha mguu.Kocha mkuu wa England Fabio Capello alisema badala ya mechi: "Ni tatizo dogo sana, sio kubwa Tutatakiwa kusubiri na kuangalia tatizo lake ni la wiki ngapi lakini mimi Cappelo najua halizidi wiki mbili au chini ya hapo.”
Baada ya habari hizo kutakuwa na matumaini kidogo kwa kocha wa Arsena Arsene Wenger, Ambaye aliogopa ya kwamba labda anaweza akawa nje kwa wiki sita mpaka nane, lakini ukweli ni kwamba labda Walcott anaweza kukosa mechi kama mbili mpaka nne.Lakini Wenger hana furaha sana baada ya Winger huyo kuwa katika kiwango kizuri cha kufunga mabao bado Wenger ameambiwa ya kwamba Mshambuliaji wake,Robin Van Persie atakuwa nje kwa wiki sita mpaka nane ambayo inamaanisha atakuwa nje mpaka Ocktober.