
Kiungo wa Spain anayechezea Arsenal Francesc Fabregas, hakuwepo kwenye mechi kwenye kombe la Emirates Cup dhidi ya AC Milan, ambapo mechi iliisha 1-1, sambamba na mdachi Robin van Persie, Fabregas alipewa mda kidogo wa kupumzika baada ya World Cup.
Kulingana na www.eurosport.com, Ndani ya miezi sita, stori hii ilifanya maisha yetu magumu," Wenger alisema. "Kwa sasa, ambacho ni cha muhimu ni lini Cesc anarudi."