Kipa wa Manchester City Shay Given anajiandaa kuondoka kwa mkopo kwenye timu za Arsenal au Fulham.Full story: Daily Express.
Kocha wa Liverpool Roy Hodgson amesema kuwa kiungo wake Javier Mascherano anajiandaa kusaini mkataba mpya Anfield. Full story: the Guardian
Beki wa Servila Squillaci anajiandaa kujiunga na timu ya Arsenal kulingana na www.eurosport.com