Monday, September 6, 2010

Nyuzi za Manchester United

Manchester United wako tayari kuendelea mtindo wao wa kununua wachezaji wadogo baada ya kumwinda mgiriki Sotiris Ninis.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ambaye kama kuachiwa kuwa mchezaji huru itacosti ada ya millioni £8 kwenye mkataba wake na timu ya Panathinaikos, ameonekana ‘solution’ kwa United kwkuwa wanahitaji ‘creative’ kiungo.
United wamesha fungua majadiliano na klabu ya Athens kuwa dili hilo litakamilika mwishoni mwa msimu huu. (Sunday Mirror)

Wakatihuohuo, mshambuliaji wa United Michael Owen ameonekana katika shati ya beki wa Liverpool Jamie Carragher baada ya mechi Jumamosi, - na alizomewa kwenye mechi na mashabiki wa Anfield. (Daily Star Sunday)

Mambo ya Real Madrid.
Gareth Bale aliwindwa na Real Madrid Januari. Winga huyo wa Tottenham alitakiwa na ‘giants’ wa Hispania majira haya ya joto lakini lilikataliwa. (Sunday Mirror)
Jose Mourinho alijaribu kumnunua Didier Drogba kwenda Bernabeu kwenye siku ya mwisho usajili. Ila, Mportuguese huyo 'alimuomba' Rais wa Real Florentino Perez kumnunua mshambuliaji huyo wa Chelsea, ambaye alifanya naye kazi mda alipokuwa Stamford Bridge. (Daily Star Sunday)
Stori zaidi kwa kiingereza;-
Scandal-hit Rooney expected to travel
Houllier quiet on Villa link