Kiungo mshambuliaji wa Wender Bremen na Ujerumani amezishtua klabu za Premier League zikiwemo Manchester United na Arsenal akisema huu siyo msimu wangu.Kiungo huyo wa Germany, ni moja kati ya mastaa kwenye World Cup, anaingia katika mwaka wa mwisho wa mkataba na mazungumzo juu ya mkataba wake yameanza.
Lakini kiungo huyo mwenye miaka 21 amesisitiza kuwa anafurahia kuwa Germany na ataamua kuondoka kama mkataba wake utaisha.
Alisema: "Mambo yakuwa wazi baada ya miezi 12 ijayo; bado nina mkataba Bremen. Nini kitatokea baada ya hapo, siwezi kusema kwa sasa."