Tuesday, April 6, 2010

Villariel matatani


Klabu ya soka ya Hispania Villariel imekuwa inamshikilia kipa wake namba 1 Diego Lopez kwani Manchester United huenda wakaishia hapo.

Magazeti ya Uingereza yamedadisi kuwa kuna uvumi wa Manchester kwa kipa huyo.

Manchester inataka kuwasajili:
Angel Di Maria- Benifica
Diego Lopez- Villariel
Joe Cole- Chelsea