Tuesday, April 6, 2010

McCarthy aiduwaza Arsenal

Winga wa Wigan Athletic “The Lactics” James McCarthy amesema kuwa hana wazo la kuiaga timu yake Wigan Athletic.

Habari hizo zimewafanya timu inayomnyatia James McCarthy Arsenal ikiwa mdomo wazi.