Tuesday, April 6, 2010

Toure: HESHIMA KOCHA WANGU


Kiungo wa Barca’ Yaya Toure amemsifia kocha wake Pep Guardiola kwani kuondoka kwa Ronaldinho na Deco imefanya timu kukosa mapungufu bali kupiga hatua mbele.

Wadau wa soka walidhani kuwa kuondoka kwa mastaa hao wawili kutaifanya Barcelona kuwa chini ila sasa ndio timu bora” alisema Yaya ambaye ni mdogo kwa beki wa Man City Kolo Toure.