Sunday, March 14, 2010

Rooney hayuko tayari kumzidi Ronaldo.


Mshambuliaji wa Man United Wayne Rooney ameng'ang'ania kuwahafikirii kumzidi Ronaldo magoli 42.


Hata kama amefika magoli 30 baada ya mechi dhidi Ac Millan.