Sunday, March 14, 2010

ANCELOTTI:SINA WASIWASI


Bosi wa Chelsea Carlo Ancelotti amesistiza kuwa hana wasiwasi na timu yake dhidi ya Inter Milan Jumanne baaada ya kuizaba Westham 4-1.

Anceloti amesema Dider Drogba kuwa mtu wa mabao jumanne.