Mabingwa watezi wa kombe la Mabingwa Ulaya maarufu kama UEFA Barcelona panga kukazia mchezo wao wakawaida wapasi kwani wapinzani wao Arsenal watakazia kwenye pumzi na pasi: walisema makocha wa kila timu.
Timu zote ni nzuri kwa pasi na hivyo kuwasaidia kupata nafasi ya kufunga kiulaini” alisema Guardiola. Tutajitahidi kuucheza mpira “posses” tutajitahidi kuwa sisi kama sisi. Tutaichezea timu inayotaka kutuchezea.
Ninajua kuwa tutapigana vikali kuishinda na lazma tushinde. Nitazidi kuifagilia timu yangu kwani najua wana pumzi, nguvu na ni lazma wawe wamefanya jitihada, huwezi kuikatisha timu yako tama huku unajiona, kama unaikatisha wewe sio kocha. Unaiambia timu kosa lao halafu wanajirekebisha; alisema Wenger.Niko 100% na timu yangu, dunia nzima naamini inatamba; alisema