
Mmiliki wa Barcelona Larpota amesema kuwa hawamuhitaji tena Cesc Fabregas, kwani wana mipango mingine.
Akizungumza na vyombo vya habari, John Larpota amesema kumnyan'ganya Fabregas kutoka kwa Wenger, kwanza tunamtaka Franck Ribéry (26) kwa euro millioni 25, Belarussian Alexander Hleb (28) kwa millioni euro 8 na Icelandic Eidur Gudjohnsen (30).