Sunday, February 21, 2010

UMBEYA WA TRANSFER




Mancheseter City imeandaa paundi millioni 140 kwa Steven Gerrard na Fernando Torres.
Mancheseter United imepanga kiasi cha paundi millioni 10 kwa kiungo wa Sporting Lisbon Miguel Veloso.
Chelsea imepanga paundi millioni 36 kwa mshambuliaji wa Benifica Angel Di Maria.
Real Madrid imepanga kumchukua Arsene Wenger badala ya Jose Mouhrinho baada ya kuona mafanikio mabaya kutoka kwa Manuel Pellegrini.
Van der Sar amepanga kusaini mwaka mmoja baada ya Happy Birthday yake ya 40 msimu huu.
Mchezaji wa zamani wa Gary Lineker anamatumaini kuwa kazi ya Ferguson itamilikiwa na kocha wa Aston Villa Martin O'Neil.
Nani ataamua kusaini miaka minne na Manchester United.
Winga mpya wa Manchester City Adam Johnson aliyesaniwa kwa paundi millioni 7, amesema angetamani kuwa kama Ryan Giggs.
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney, amemsifia kocha wa Uingereza Fabio Capello na kazi yake kama kocha.
David Villa ametakwa na Chelsea kwa paundi million 30 kutokea Valencia baada ya kuikana Real Madrid.
Agent wa beki Nemanja Vidic amesema kuwa Vidic anakasirishwa na timu nyingi kuja,"mimi nitabaki Manchester United"
Robinho amedai kukataa kwenda Barca ili aende Santos.
Chairman wa Chelsea amempiga faini Ashley Cole £200,000 baada ya beki huyo kujihusisha kama Terry.
Steven Pieener hayuko tayari kuondoka baada ya Liverpool na Bayern Muchen kumfuatilia.
Kiungo wa Villariel amesema kuwa ni mpango wa Fabregas kupanga kuondoka ama kubaki Arsenal.



WALIOINGIA
Arsenal
Sol Campbell (free)Galindo (undisc.)
Aston Villa
None.
Birmingham City
Michel (£3million)Craig Gardner (£3million)
Blackburn Rovers
Yildiray Basturk (free)Amine Linganzi (undisc.)
Bolton Wanderers
Stuart Holden (free)*Paul Robinson(undisc.)Vladimir Weiss (loan)Jack Wilshere (loan)
Burnley
Jack Cork (loan)Leon Cort (£1.5million)Danny Fox (undisc.)Frederic Nimani (loan)David Nugent (loan)Nicky Weaver (free)
Chelsea
None.
Everton
Landon Donovan (loan)Philippe Senderos (loan)
Fulham
Christopher Buchtmann (undis.)Stefano Okaka (loan)Nicky Shorey (loan)
Hull City
Amr Zaki (loan)
Liverpool
Maxi Rodriguez (free)
Manchester City
Adam Johnson (£7million)Patrick Vieira (undisc.)
Manchester United
None.
Portsmouth
Jamie O'Hara (loan)Quincy Owusu-Abeyie (loan)Ricardo Rocha (free)
Stoke City
Asmir Begovic (£3.25million)
Sunderland
Benjani (loan)Matthew Kilgallon (undisc.)Alan Hutton (loan)
Tottenham Hotspur
Eidur Gudjohnsen (loan)Younes Kaboul (£5million)
West Ham United
Ilan (free)Benni McCarthy (undisc.)Mido (loan)
Wigan Athletic
Gary Caldwell (undisc.)Steven Gohouri (free)Marcelo Moreno (loan)* Victor Moses (undisc.)Vladimir Stojkovic (loan)
Wolverhampton Wanderers
Adlene Guedioura (loan)Geoffrey Mujangi-Bia (loan)

Waliotoka
Arsenal
Kyle Bartley (loan)Kerrea Gilbert (loan)Philippe Senderos (loan)Sanchez Watt (loan)Jack Wilshere (loan)
Aston Villa
Craig Gardner (£3million)Shane Lowry (loan)Nicky Shorey (loan)
Birmingham City
Marcus Bent (loan)Giovanny Espinoza (released)Damien Johnson (free)Gary McSheffrey (loan)Jordan Mutch (loan)Krystian Pearce (loan)Martin Taylor (free)
Blackburn Rovers
Frank Fielding (loan)Gavin Gunning (loan)Andrew Haworth (loan)Zurab Khizanishvili (loan)Benni McCarthy (undisc.)Keith Treacy (undisc.)Elrio van Heerden (free)
Bolton Wanderers
Mark Connolly (loan)Nicky Hunt (loan)Temitope Obadeyi (loan)Danny Ward (loan)
Burnley
Brian Easton (loan)Jonathan Lund (loan)Jay Rodriguez (loan)
Chelsea
Jack Cork (loan)Tom Taiwo (undisc.)Patrick van Aanholt (loan)
Everton
Lukas Jutkiewicz (loan)Lucas Neill (£750,000)John Ruddy (loan)
Fulham
Wayne Brown (loan)Toni Kallio (loan)Diomansy Kamara (loan)Seol Ki-Hyeon (undisc.)David Stockdale (loan)Adam Watts (undisc.)
Hull City
Daniel Cousin (loan)Peter Halmosi (loan)Bryan Hughes (released) Tony Warner (released)
Liverpool
Christopher Buchtmann (undis.)Andrea Dossena (£3.8m)Nathan Eccleston (loan)Andriy Voronin (£1.8m)
Manchester City
Benjani (loan)Felipe Caicedo (loan)Adam Clayton (loan)Jo (loan)Donal McDermott (loan)Robinho (loan)Javan Vidal (loan)Vladimir Weiss (loan)
Manchester United
Sam Hewson (loan)Danny Simpson (undisc.)Zoran Tosic (loan)Danny Welbeck (loan)
Portsmouth
Asmir Begovic (£3.25million)Paris Cowan-Hall (loan)Younes Kaboul (£5million)Gauthier Mahoto (free)David Nugent (loan)Luke Wilkinson (loan)Mike Williamson (undisc.)
Stoke City
Leon Cort (£1.5million)Richard Cresswell (undisc.)Andy Griffin (loan)Ben Marshall (loan)Tom Soares (loan)Michael Tonge (loan)
Sunderland
David Healy (loan)Daryl Murphy (loan)Nyron Nosworthy (loan)
Tottenham Hotspur
Troy Archibald-Henville (undis.)Sam Cox (loan)Giovani dos Santos (loan)Alan Hutton (loan)Robbie Keane (loan)Jake Livermore (loan)Kyle Naughton (loan)Jamie O'Hara (loan)Tomas Pekhart (undisc.)Andros Townsend (loan)
West Ham United
Frank Nouble (loan) Josh Payne (loan)Nigel Quashie (released)
Wigan Athletic
Daniel de Ridder (loan)Olivier Kapo (loan)Cho Won-hee (loan)
Wolverhampton Wanderers
Neill Collins (undisc.)Matt Hill (loan)Carl Ikeme (loan)Darren Ward (free)