Sunday, March 14, 2010

Magwiji ya England watakiwa MADRID

Magwiji wa England Wayne Rooney and Steven Gerrard wamekuwa wachezaji ambao Real Madrid wanawawinda.

Madrid imekuwa na wasiwasi na Manchester City kwakuwa inamwinda mshambuliaji Gonzalo Higuain na Fernando Gago.

Winga wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amewekewa mlango wazi na Alex Ferguson baada ya timu yake kushindwa kupita 'LAST 16'.