Thursday, December 3, 2009

INIESTA: RONALDO NI WA KUSIFIWA TU!


Kiungo wa Barcelona Andres Iniesta amempuuza winga mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo kwa kumuita mpuuzi. Kitendo hicho, Iniesta aliamua kuchukua sheria mkononi na kusema kuwa hakuweza kutamba kwenye mechi dhidi yao.

Ronaldo amemwambia kiungo Iniesta asipende kujirusha anapokuwa uwanjani “ unabidi uache hizo ‘dive’ zako alisema Ronaldo.