Friday, November 20, 2009

ARSENAL WASEMA PERSIE AMEUMIA


Klabu ya Arsenal imesema kuwa mshambuliaji tegemezi Robin Van Persie ameumia, na atakuwa nje kwa miezi miwili au kwa wiki sita.

Mdachi huyo aliumia wakati akiichezea timu yake ya Taifa Uholanzi ilicheza dhidi ya Mabingwa watetezi wa World Cup Italy.