Mshambuliaji machachari wa Argentina zamani, ambaye sasa ni kocha wa Argentina amefungiwa kwa miezi miwili.
Adhabu hiyo iliyotolewa na Shirikisho la mpira duniani( FIFA) baada ya kutupa maneno makali juu ya waandishi wa habari baada ya kushinda mechi dhidi ya Uruguay.