Kocha wa Liverpool Rafael Benitez amesistiza kuwa ataondoka kama mshambuliaji tegemezi Fernando Torres atauzwa bila yeye kupenda.
Lakini Benitez aliliambia gazeti la The Times kwamba “Mspanishiola” huyo alikuwa haendi kokote.
Lakini Benitez aliliambia gazeti la The Times kwamba “Mspanishiola” huyo alikuwa haendi kokote.