Friday, November 20, 2009

USWIZI WASHINDA KOMBE U-17


Timu ya Taifa ya Uswizi imeshinda katika fainali za vijana chini ya miaka 17, mchezo huo Uswizi walishinda 1-0 katika Uwanja wa Abuja.

Nijeria ilifika hadi fainali ilishindwa kutamba katika Uwanja wa Abuja nchin Nigeria.