Thursday, December 3, 2009

ARSENAL KUINGIA SOKONI KWA LAZIMA JANUARI


Klabu ya Arsenal imelazimika kuingia sokoni kwa lazima baada ya mshambuliaji tegemezi wa Arsenal Robin Van Persie kuumia.

Kupitia http://www.arsenal.com/ kocha wa Arsenal alisema kutanunua itakapobidi kwani nilipanga nisiuze wala kununua.