
Babu wa Man Utd Van der Sar amesema ulikuwa ni uzembe wa mabeki kuruhusu magoli yote yapite. Mimi nilifanya kazi yangu unafikiri pale Ngog alivyokuja karibu vile unge daka, Torres je? Magoli yote ni ya uzembe wa mabeki, labda tuseme goli la Ngog Vidic hakuwepo.