Tuesday, November 3, 2009

Chealse paundi millioni 33 kwa Villa


Timu ya Chelsea imeahidi kutoa millioni 33 kwa Villa kama watasamehewa hadhabu waliyopewa na FIFA mwanzoni mwa msimu huu. Villa ambaye anayewaniwa na Man Utd kwa millioni 25 amesema angependa kwanda Man Utd kwani ni klabu ya aliyoipenda.