
Ni kwa mara nyingine tena wanasoka. Nani bora kati 23. FIFA imetoa chaguzi kali ambapo wawili ni wale wakali, Cristiano Ronaldo na Leonel Messi. Shirikisho hili lilisema mwaka jana kuwa Cristiano Ronaldo alikuwa ni mwanasoka bora. Je? ITAKUWA HIVYO TENA?