Timu ya Manchester United anamwania kipa mwenye miaka 22 a.k.a Neuer. Kipa huyo ambaye yupo timu ya Shalke 04 ya Ujerumani. Kocha wa Man Utd Sir.Alex Fergison anamwania Neuer kwani Edwin Van der Sar atatandika dalugu.
Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI