
Pia Manchester United anamwania pia beki wa Stoke City Ryan Shawcross kwa kuwa beki Rio Ferdinand ana uwezekano kwenda Tottenham.Kocha wa Man Utd Alex Ferguson anamwangalia huyu katika marekebisho ya safu ya ulinzi.
Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI