Kiungo wa aliyetamba miaka ya juzi a.k.a Edgar Davids anategemea kujiunga na Leicester baada kupitia uzoefu wa klabu kubwa kama Ajax Amsterdam, AC Milan, Juventus, Barcelona, Inter Milan na Tottenham.
Leicester City ambayo haipo daraja la Premirer League inamhitaji kiungo huyo ambaye sasa yupo huru baada ya kumaliza mkataba wake Ajax Amsterdam katika majira ya joto.