Sunday, November 1, 2009
SOUTHGATE AFUKUZWA
Kocha wa Middlesbrough (ambayo imeshuka daraja) Gareth Southgate ametemwa na timu hiyo. Southgate ambaye ana uzoefu na timu hiyo kwa miaka mitatu na nusu alitemwa jumatano na mwenyekiti wa klabu ya Middlesbrough Steve Gibson.
Habari za Southgate ambaye alikuwa beki wa zamani wa England zilimshtusha hata kocha wa Manchester United Sir. Alex Ferguson na kumlaumu mwenyekiti wake, Gibson.
Hata hivyo kocha wa Africa Kusini Joel Santana, kocha ambaye anategemewa na Africa Kusini ni Carlos Alberto Parreira.
