Sunday, November 8, 2009

ROBINHO AWATIA KIWEWE BARCELONA

Timu ya Barcelona inamtaka Robinho kwa kile kile kiasi cha paundi millioni 34 sawa na walichomnunulia kutoka Madrid. Robinho ambaye ni majeruhi tangu mwanzoni mwa msimu huu.