Sunday, November 8, 2009

HENRY- SINA BIFU NA KOCHA...............


Mshambuliaji wa Barcelona amesema kuwa hana bifu na kocha Guiradola kwamba anataka Mfaransa mwenzake Pedro ampite kiwango. Huwo ni uongo kabisa alisema kocha Guiradola.