Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI
Saturday, November 7, 2009
DIEGO LOPEZ NA DEFOE WATAKIWA MAN U
Klabu ya Manchester United inampango wa kuwanunua Diego Lopez kutoka Villariel na Defoe kutoka Tottenham Hotspurs. Man Utd inawaletea millioni 15 Diego Lopez kuwa mtu atakaye mrithi Van-der-Sar