Saturday, November 7, 2009

Chealse millioni 43 kwa Aguero.




Kocha wa klabu ya Chealse Carlo Ancelloti amezindua mpango wa kumnasa mshambuliaji wa Athletico Madrid Sergio Kun Aguero kwa paundi millioni 43. Chealse ambayo imesamehewa adhabu ya kusaini mcheazaji yeyote. Chealse ambayo pia inamtaka kiungo wa Napoli Marek Hamsik Januari.