Friday, November 13, 2009

GUTI KWENDA INTER MILLAN


Mabingwa watetezi wa Italia imetangaza kumtaka kiungo wa Real Madrid Guti ambaye amekuwa akiwekwa benchi na kocha Manuel Pellegrini. Guti alionekana akikorofishana na kocha wake baada ya kutolewa katika kombe la Mfalme.