Friday, November 13, 2009

ADRIANO GALLIANI ANENA;





Afisa maendeleo wa Ac Millan Adriano Galliani amesema: "Amesikitishwa kwamba mnamtaka lakini tumeuza tiketi 16,000 msimu huu kuliko msimu uliyopita; Nataka kuandika kwa mashabiki kwamba bado hatuja hatuja anzisha na kuwajulisha kwamba kuanzia kipande cha pili cha msimu huu tutaona jinsi tutakavyo uza tiketi maaalu mukwa michezo kumi itakayo fuata. Nafanya hivi sio kupata mamilioni lakini inasikitisha kuona watu 40.000 kwenye mchezo dhidi ya Roma.

Leonardo? Berlusconi amefurahishwana jinsi timu inavyo cheza. Kwa washambuliaji wanne ni kawaida, lakini sisi pia tumejenga na kupata nafasi nyingi za kufunga.

Dida? Ni kitu kinacho furahisha kwamba miaka michache iliyopita nilikuwa mtu aliyetumia pesa kumfanya asaini mkataba mpya, Ila Leonardo amemchezesha mechi nyingi.

Huntelaar? Amekabidhiwatimu nzima. Kama nikishinda kombe hili kwa kuwafunga Inter and Juventus kwa michezo iliyopita au kuchukua kombe la nane la Kombe la Mabingwa Ulaya?Hamna mashaka hapo, hamna michezo ambapo kombe la Italia ni muhimu kuliko European.
Sisi ndiyo timu ambayo imekuwa ikishinda katika dunia nzima.