Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI
Friday, November 13, 2009
FORLAN AMWAGA WINO
Klabu ya Atletico Madrid imetangaza kumpa mshambuliaji wake Diego Forlan. Forlan ambaye ameichezea miamba ya England Manchester United, amesaini hadi 2013.