Friday, November 13, 2009

BOSINGWA NJE


Beki wa Chealse Jose Bosinwa ameipa pigo timu yake baada ya kupasuliwa mguu kwakuwa yeye ni majeruhi, Bosinwa alicheza mechi wyake ya mwisho dhidi ya Aston Villa kwa kulizwa 2-1.