Friday, November 13, 2009

CARLO CUDICINI AEPUKA KIFO.


Kipa tegemeo la pili wa Tottenham Hotspurs Carlo Cudicini amenusurika katika ajali akigongana uso kwa uso na garo aina ya P-reg Fiesta. Cudicini alikuwa akiendesha pikipiki.